Home > Terms > Swahili (SW) > batamzinga kuku

batamzinga kuku

Hizi ni batamzinga kike, kwa kawaida huwa na uzito kutoka paundi 8 hadi 16. Kwa upande mwingine, batamzinga ya tom ni wanaume, kwa kawaida wana uzito wa kutoka paundi 18 hadi 32. Kuku batamzinga ilikuwa ikitoa nyama nyingi nyeupe katika siku za zama. Lakini kwa ufugaji ya kuchagua wa leo , batamzinga ya kuku na tom wote hutoa uwiano kubwa ya nyama nyeupe kwa nyeusi.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

ongaka yusuf walela
  • 0

    Terms

  • 1

    Blossaries

  • 0

    Followers

Industry/Domain: Language Category: Grammar

usemi halisi

katika usemi halisi, kiina cha kitenzi ndio huwa kinatenda mfano; "aliwatembelea marafiki zake huko chicago"