Home > Terms > Swahili (SW) > bia steini

bia steini

Bia steini ni neno la Kiingereza ya aidha vikombe vya bia siku za jadi vilivyotengenezwa kutoka kwa vyombo vya mawe, au mapambo hasa ya vikombe vya bia ambavyo kwa kawaida kuuzwa kama zawadi au vya kuokota. Vinaweza kuwa wazi juu au vifuniko vya kufungwa kwa mkono. Steini kwa kawaida huja katika ukubwa wa nusu lita au lita nzima(au kulinganishwa ukubwa wa kihistoria).

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Christmas

malaika

Wajumbe wa Mungu ambao walijionyesha kwa Wachungaji wakitangaza kuzaliwa kwa Yesu.